Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ Eng. John Bura wa
pili kutoka Kulia akiwa amenyanyua Tuzo ya Ubora ya Kimataifa (ISO 9001:2015)
Baada ya Kampuni yake Kukidhi Viwango vya Kimataifa.Kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Bodi ya Wakandarasi (CRB) Bw. Rhoben Nkori.Kushoto ni Mkaguzi wa
Ubora wa Mifumo ya Kimataifa Bw. Alfred Lihasi (AQC Midle East FZE) na Katikati
ni Mwenyekiti wa Contractors Association of Tanzania (Eng. Lawrence
Mwakyambiki) jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ Eng. John Bura wa pili kutoka Kulia akiwa amenyanyua Tuzo ya Ubora ya Kimataifa (ISO 9001:2015) Baada ya Kampuni yake Kukidhi Viwango vya Kimataifa.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wakandarasi (CRB) Bw. Rhoben Nkori.Kushoto ni Mtaalam wa Mawasiliano na Msaidizi wa Mkurugenzi wa Kampuni ya BQ Eng. Lorenco Simon jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ Eng. John Bura wa
pili kutoka Kulia akieleze manufaa ya Tuzo hiyo ya Ubora wa Kimataifa baada ya
Kukabidhiwa,Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wakandarasi (CRB) Bw.
Rhoben Nkori.Kushoto ni Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ Ms.
Hilu Bura na Katikati ni Mtaalam wa Mawasiliano na Msaidizi wa Mkurugenzi wa
Kampuni ya BQ Eng. Lorenco Simon jijini Dar es Salaam
Kushoto ni Mkaguzi wa Ubora wa Mifumo ya Kimataifa Bw. Alfred Lihasi (AQC Midle East FZE) akiwa akiielezea Tuzo Hiyo ya Kimataifa kabla ya Kuikabidhi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ukandarasi ya BQ Eng. John Bura wa Pili Kushoto, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wakandarasi (CRB) Bw. Rhoben Nkori,na Katikati ni Mwenyekiti wa Contractors Association of Tanzania (Eng. Lawrence Mwakyambiki) jijini Dar es Salaam
Wakurugenzi wa Makampuni Mbalimbali wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya Kampuni ya Ukandarasi ya BQ kukabidhiwa Tuzo ya Ubora wa Kimataifa jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Prona Mwumwi

0 Comments