Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya Star
Times Group, Bw. Pang Xin Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini
Dodoma Aprili 3, 2018. Kulia ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais
wa Makampuni ya Star Times Group, Pang Xin Xing (watatu kushoto) na
ujumbe wake baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni
mjini Dodoma Aprili 3, 2018.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Star Media Tanzania Limited,Wang Xiao Bo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi
wa Uhusiano wa Makampuni ya Star Times Group,Zhang Ye na kushoto ni
Meneja Uhusiano wa kampuni ya Star Media Tanzania Limited, Juma Suluhu
Sharobaro.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments