Random Posts

Matukio Katika Picha Waziri Mkuu Mjini Dodoma Aprili 16,2018

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kuteuliwa Mama Salma Kikwete. katika Viwanja vya Bunge Dodoma  April 16/2018.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Khadija Shabani. katikati mwenye Miwani wakiwa pamoja na Mjasilia mali , Warda Obathan. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Viti Maalumu Upendo Peneza. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018. .
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa  akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mkwawa Iringa .katika Viwanja vya Bunge Dodoma April 16/2018 kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Viti Maalumu Rita Kabati.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Post a Comment

0 Comments