Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Muhanidisi Hamad Masauni,wa pili kulia akimkabidhi tuzo ya ushiriki wa Mkutano wa tano unaohusu huduma za benki ya kislamu Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Saqware, mkutano huo uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili 17 2018 ,wa kwanza kushoto ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (Udhibiti na Usimamizi wa sekta ya Fedha) Dkt. Bernard Kibesse,wa kwanza Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji na Mtendaji Mkuu wa kituo cha Huduma Za Kibenki za Benki ya kiislamu na uchumi chenye Makao Makuu Falme za Kiarabu na Pakistani Muhammad Zubair Mughal.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Muhanidisi Hamad Masauni,katikati akiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano wa tanb unaohusu huduma za Benki ya kislamu Tanzania,Mkutano huo ulifanyika Jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Prona Mumwi

0 Comments