Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mwakilishi wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jeremy Aguma wa pili
kutoka kulia wakivuta utepe kwenye jiwe
la msingi kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya
Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Sherehe hizo za ufunguzi zilifanyika katika kijiji cha Ndolela kilichopo
Isimani nje kidogo ya mji wa Iringa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mwakilishi wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jeremy Aguma, Balozi wa
Japan Masaharu Yoshida wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya
Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa
katika kiwango cha lami. Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli, Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa , Spika wa Bunge Job Ndugai
pamoja na viongozi wengine wa Serikali na wageni kutoka nje ya nchi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Iringa-Dodoma katika
sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha
lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika sherehe hizo za ufunguzi wa barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya
Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Isimani Mkoani Iringa
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa jukwaa kuu pamoja na Balozi wa Japan
Masaharu Yoshida, Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi, pamoja na Waziri wa Mambo ya
nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga wakifatilia sherehe za ufunguzi wa barabara ya
ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika
kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iringa
mjini waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili akitokea Isimani mkoani Iringa.
Mwananchi
wa Iringa mjini akipuliza pembe ya ng’ombe
wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli alipowasili Iringa mjini katika ziara ya kikazi.
PICHA NA IKULU














0 Comments