Random Posts

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Azungumza na Wananchi wa Migori Wakati Akiwa Njiani Kuelekea Isimani mkoani Iringa

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Migori wakati akiwa njiani kuelekea Isimani mkoani Iringa ambapo alifungua rasmi Barabara ya  Iringa- Migori hadi Fufu km 189. 
PICHA NA IKULU
 Taaswira ya Barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Isimani mkoani Iringa, Barabara hiyo ya kutoka Iringa- Migori hadi Fufu km 189 imefunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kijiji Ndolela mkoani Iringa.

Post a Comment

0 Comments