Subscribe Us

header ads

Kuelekea Siku ya Hedhi Salama Duniani Taasisi ya Chief Promotion Yaandaa Matembezi Jijini Dar es Salaam

  Mkurugenzi Mtendaji Kampuni  wa Taasisi ya Chief Promotion, Dr Amoni Mkoga (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Jijini Dar es Salaam kuhusiana na kilele cha siku Hedhi salama Duniani ambapo wameandaa matembezi kwaajili ya kutoa elimu juu ya hedhi salama matembezi hayo yatafanyika katika viwanja vya Coco Beach karibu na Bwalo la Maofisa wa Polisi lililopo Oysterbay (kulia) Mwakilishi kutoka HQ Pads, Bi Hilda Chalila.
(Picha zote na Philemon Saolomon)
 Mwakilishi kutoka Kampuni ya HQ Pads, Bi Hilda Chalila akielezea ubora wa HQ Pads na kutoa elimu ya matumizi ya Pads hizo.
 Mwakilishi kutoka Kampuni ya ReliefPad ambao ndiyo wandhamini wa matembezi hayo, Bw. Sangameshi Salima Salimath akielezea juu ya ugawaji Pad siku hiyo ya matembezi. 
 Mwakilishi kutoka Kampuni ya ReliefPad ambao ndiyo wandhamini wa matembezi hayo, Bw. Sangameshi Salima Salimath akiwaelezea waandihi wa habari ubora wa Pad hizo.
Picha ya pamoja.

Post a Comment

0 Comments