Subscribe Us

header ads

Spika Ndugai Aongoza Kikao cha Pamoja kati ya Wajumbe wa Kamati ya Uongozi na Wajumbe wa Tume ya Utumishi Ofisi ya Bunge katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)akiongoza kikao cha pamoja kati ya Wajumbe wa Kamati ya Uongozi na Wajumbe wa Tume ya Utumishi Ofisi ya Bunge kilichokutana kujadili taratibu za mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buyungu (CHADEMA), Marehemu Kasuku Bilago aliyefariki jana majira ya saa 9 alasiri katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 27 Mei, 2018 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments