Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkaribisha, Waziri wa Mambo ya Dini wa
Saud Arabia, Dkt. Saleh Alashiek (wapili kushoto) na ujumbe wake wakati
alipofuturisha kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es
salaam, Mei 27, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofuturisha kwenye
Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Mei 27, 2018.
Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Dini wa Saud Arabia, Dkt. Saleh Alashiek
na kulia ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir.
(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza katika futari aliyoiandaa kwenye Makazi ya Waziri Mkuu
jijini Dar es salaam Mei 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kushoto) akiagana na baadhi ya
wanawake walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam,
Mei 27, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments