Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Amani ya wilaya ya Ruangwa inayoundwa na viongozi wa dini kwenye ukumbi wa CCM katika mji mdogo wa Ruangwa Mei 25, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Amani ya wilaya ya Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa CCM katika mji mdogo wa Ruangwa Mei 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa mji mdogo wa Ruangwa alipokuwa akitembea kuelekea uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala kufuturi sha, Mei 25, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na baadhi viongozi dini na wazee baada ya kufutarisha kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala katika mji mdogo wa Ruangwa, Mei 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments