Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Askofu Mkuu Mteule wa
Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa kabla ya kwenda kusimikwa rasmi kuwa Askofu
Mkuu wa Kanisa hilo mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na
Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa
mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Askofu Mkuu mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo
Mndolwa aliyeambatana na mke wake Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda
Dodoma kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu
wa Saba wa Kanisa hilo nchini.
PICHA NA
IKULU






0 Comments