Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa
kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika aliyeambatana na Mbunge mwingine Mboni
Mhita (kulia) ambaye pia amechaguliwa
kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika
Afrika ya Kusini wiki iliyopita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu
wa Rais wa Bunge la Afrika mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wanahabari mara baada ya kuwapongeza wabunge hao wa Tanzania
waliochaguliwa kushika nafasi za juu katika Bunge la Afrika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge Mboni Mhita kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika Afrika ya Kusini wiki iliyopita.
Makamu
wa Rais wa Bunge la Afrika Stephen Masele akizungumza na Wanahari Ikulu jijini
Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika Mboni Mhita .
PICHA NA IKULU





0 Comments