Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe pamoja Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy kushoto na Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi
Roeland van de Geer kulia kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka
Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 katika sherehe zilizofanyika
katika kijiji cha Nyandeo Kidatu mkoani Morogoro. Wengine katika picha ni Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kushoto pamoja viongozi mbalimbali
na wabunge wa mkoa wa Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy mara baada ya kuweka jiwe la
msingi ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa
66.9 katika sherehe zilizofanyika katika kijiji cha Nyandeo Kidatu mkoani
Morogoro
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
jiwe la msingi pamoja na viongozi wengine wakiwemo Mwakilishi wa DFID nchini
Beth Arthy anayevuta utepe, Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland
van de Geer pamoja na wabunge mbalimbali wa mkoa wa Morogoro
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi
Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 pamoja na daraja la Ruaha lenye urefu wa
mita 130.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa kidatu kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya kutoka
Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 pamoja na daraja la kidatu
lenye urefu wa mita 130.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na mkuu wa mkoa wa Morogoro Steven Kebwe kabla ya kuweka jiwe
la msingi ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya
kilometa 66.9 pamoja na daraja la mto Ruaha lenye urefu wa mita 130.
Mbunge
wa Mikumi Joseph Haule akitumbuiza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika sherehe za uwekaji wa jiwe
la msingi ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya
kilometa 66.9 pamoja na daraja la mto Ruaha lenye urefu wa mita 130.
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 pamoja na daraja la mto Ruaha lenye urefu wa mita 130.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza kwa njia ya simu ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila
Mkumbo kuhusu matatizo ya mkandarasi wa ujenzi wa mradi wa maji katika kata
ya Kidodi mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Kidodi wakati akielekea Kidatu mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimia wananchi wakati akiwasili Kidatu mkoani Morogoro.
PICHA NA IKULU

0 Comments