Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Mang’ula kona katika Wilaya ya Kilombero wakati
akiwa njiani kuelekea kufungua Daraja kubwa linalopita katika mto Kilombero
(Daraja la Magufuli lenye urefu wa M384) lililopo katika Wilaya ya Kilombero
mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Kiberege wakati akiwa njiani kuelekea kufungua
Daraja kubwa linalopita katika mto Kilombero (Daraja la Magufuli) lililopo
katika Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mang’ula wakati
akiwa njiani kuelekea kufungua Daraja kubwa linalopita katika mto Kilombero
(Daraja la Magufuli) lililopo katika Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika msiba wa mwanafunzi wa
Chuo cha Ardhi, James Gerald mara baada ya kutoa rambirambi wakati akiwa njiani
kuelekea kufungua Daraja kubwa linalopita katika mto Kilombero (Daraja la
Magufuli) lililopo katika Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza mwanafunzi wa Shule ya
Sekondari Mang’ula Mrindoko Msangi mara baada ya kumkabidhi kiasi cha Shilingi
milioni 3 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo katika shule hiyo. Mwanafunzi huyo
alielezea kwa ufasaha kero inayowakabili shuleni hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka
kwenye msiba wa mwanafunzi wa Chuo cha
Ardhi, James Gerald mara baada ya kutoa rambirambi wakati akiwa njiani kuelekea
kufungua Daraja kubwa linalopita katika mto Kilombero (Daraja la Magufuli)
lililopo katika Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanakijiji wa
Sanje( hawapo pichani ) wakati akiwa njiani kuelekea kufungua Daraja kubwa
linalopita katika mto Kilombero (Daraja la Magufuli) lililopo katika Wilaya ya
Kilombero mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta
utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa kuashiria ufunguzi wa Daraja
kubwa la Magufuli lenye urefu wa mita 384 linalopita katika mto Kilombero
mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkewe Mama
Janeth Magufuli, Viongozi mbalimbali wa Dini, Serikali, Wabunge wa mkoa wa
Morogoro na Viongozi wengine, akikata
utepe kuashiria ufunguzi wa Daraja kubwa la Magufuli lenye urefu wa mita 384
linalopita katika mto Kilombero mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo na Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali mara baada ya
kufungua Daraja kubwa la Magufuli lenye urefu wa mita 384 linalopita katika mto
Kilombero mkoani Morogoro.
PICHA NA
IKULU















0 Comments