Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada
ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.
Paroko
msaidizi wa parokia ya Osterrbay Padre Asis Mendokta akiongoza ibada ambayo pia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amehudhuria
Ibada hiyo ya Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa
Amani na wanafunzi waumini alijumuika na waumini wengine kusali Ibada ya jumapili
Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada
ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Paroko msaidizi Padre Asis Mendokta mara baada ya kushiriki Ibada ya jumapili
Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018.
PICHA NA IKULU

0 Comments