Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Waziri wa Madini, Mhe. Angellah Kairuki (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila (kulia) wakati wakielekea kwenye Maonyesho ya Madini yanayoendelea leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 na yanategemea kumaliza Tarehe 1 Juni, 2018.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The Tanzanite Experience, Ndg. Hasnain Sajan (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati), Waziri wa Madini, Mhe. Angellah Kairuki (Kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila (kulia) wakati wa Maonyesho ya Madini yanayoendelea leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Mtendaji wa Mpango wa Uhamasishaji Uwazi katika Mapato ya Madini, Gesi Asilia na Mafuta (TEITI), Ndg. Mariam Mgaya (wa pili kushoto) wakati wa Maonyesho ya Madini yanaendelea leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Watatu kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Madini leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
Mwalimu wa Uchanjuaji Madini kutoka Chuo cha Madini Dodoma, Dkt. Abdulrahaman Mwanga (kushoto) akimuonyesha Mbale ya Shaba Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) wakati wa Maonyesho ya Madini yanayoendelea leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Watatu kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa sekta ya Madini nchini Tanzania katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Madini leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments