mwenyekiti mstaafu wa bodi ya wakurugenzi wa benki ya tpb, prof. lettice
rutashobya (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa tawi la benki hilo
mkoani tanga. wakishuhudia tukio hilo ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa
sasa wa benki hiyo dkt. edmund mndolwa (kulia) na afisa mtendaji mkuu wa benki
ya tpb, bw. sabasaba moshingi (kushoto).
mwenyekiti mstaafu wa bodi ya wakurugenzi wa benki ya tpb, prof. lettice
rutashobya akifungua jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa tawi la benki hiyo
mkoani tanga. kushoto ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa benki ya tpb dkt.
edmund mndolwa pamoja na afisa mtendaji mkuu wa benki hiyo bw. sabasaba
moshingi (kulia).
mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa benki ya tpb, dkt. edmund mndolwa
akitoa hotuba fupi wakati wa shereje za uzinduzi wa tawi la benki hiyo mkoani
tanga.
No comments:
Post a Comment