Yaliyojiri Bungeni Jijini Dodoma Juni 4, 2018 - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 4 June 2018

Yaliyojiri Bungeni Jijini Dodoma Juni 4, 2018

 Wageni Mbali mbali wakiwemo Manaibu Makatibu Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Makamishna wa Bajeti na Sera wakisikiliza hotuba ambapo Wizara ya Fedha na Mipango ilikuwa ikiwasilisha Bajeti yake  Bungeni Jijini Dodoma Juni 4, 2018.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Mount Everest kutoka Jijini Dar es Salaam, leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia)akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari TUSIIME kutoka Jijini Dar es Salaam, leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Segerea, Mhe. Bonnah kaluwa
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Son (kulia) leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages