Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb), kushoto, akiongea na vyombo vya
habari kuhusu utekelezaji wa wizara yake kusimamia sekta ya maji na wataalam wake katika ngazi zote
kuanzia ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya kijiji. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (Mb).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (Mb). Kulia, akiongea kuhusu sekta ya maji na
wataalam wake kuwajibika wizara ya maji kuanzia ngazi ya kitaifa hadi kijiji.
Kushoto ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb).




No comments:
Post a Comment