Subscribe Us

header ads

AQRB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Baadhi ya Watumishi wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), waliohudhuria maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam huku Watumishi wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe unaosomeka.
 *MASLAHI BORA ,MISHAHARA JUU,KAZI IENDELEE* 

*UBUNIFU MAJENGO BORA, GHARAMA HALISI, MAJENZI THABITI KWA WATANZANIA WOTE. 

Baadhi ya Watumishi wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), wakiwa katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge  amkabidhi cheti cha mfanyakazi bora, Bi Zubeda Ahmed kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-DAR ES SALAAM

 

Post a Comment

0 Comments