Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, George Simbachawene (kulia meza kuu) akiongoza kikao cha Tume ya Jeshi la
Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na
Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini
Dodoma, leo. Kulia Meza Kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akimuapisha Afisa Sheria
wa Wizara hiyo, Berious Nyasebwa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya
Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya
Utumishi na Utendaji wa Askari wa Majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara, jijini
Dodoma, leo. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio wakisoma taarifa ya Kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo.
Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akimpongeza Afisa Sheria wa Wizara hiyo, Berious Nyasebwa baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Utumishi na Utendaji wa Askari wa Majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.
Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akiongoza kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Kulia Meza Kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

0 Comments