KUELEKEA MIAKA 60 YA UHURU -RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWATEMBELEA MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA PAMOJA NA JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA JIJINI DAR ES SALAAM - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 2 December 2021

KUELEKEA MIAKA 60 YA UHURU -RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWATEMBELEA MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA PAMOJA NA JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali leo tarehe 2 Desemba, 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya mara baada ya kumjulia hali nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali. 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages