Mkuu
Wa Mkoa Wa Mwanza Mhandisi Gabriel Robert akifungua Mafunzo endelevu
ya Wataalam (CPD) ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi
Tarehe 2 Desemba, 2021 Kwenye Ukumbi wa mikutano wa chuo cha mafunzo cha Benki Kuu, Mwanza.
Mafunzo hayo ya siku mbili kwaajili ya kuwajengea uwezo wataalam katika sekta ya ujenzi kwenye fani za Wabunifu wa
Majengo,Wakadiriaji wa Majenzi,Wasimamizi wa Majengo,Wasimamizi wa Miradi na
Wasamabazaji wa Vifaa vya Ujenzi.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-MWANZA
Msajili wa Bodi hiyo Arch. Edwini Nnunduma akiwasilisha hotuba yake ya ufunguzi wa Mafunzo
endelevu ya Wataalam (CPD) ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na
Wakadiriaji Majenzi Kwenye Ukumbi wa mikutano wa chuo cha mafunzo cha Benki
Kuu, Mwanza.
Mkaguzi
wa Ndani kutoka Bodi ya Usajili wa
Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi ( AQRB) Bw. Ezekyeli Stiven akitoa mada
wakati wa mafunzo hayo.
Msajiri wa Bodi hiyo Arch. Nnunduma akifurahia jambo wakati Mkuu Wa Mkoa Wa Mwanza Mhandisi. Gabriel Robert akifungua Mafunzo
endelevu ya Wataalam (CPD) ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na
Wakadiriaji Majenzi Tarehe 2 Desemba, 2021 Mwanza.
wataalam katika sekta ya ujenzi kwenye fani za Wabunifu wa Majengo,Wakadiriaji wa Majenzi,Wasimamizi wa Majengo,Wasimamizi wa Miradi na Wasamabazaji wa Vifaa vya Ujenz.
Msajiri wa Bodi hiyo Arch. Nnunduma (kushoto
mwenye tai) akisalimiana na Mkuu Wa Mkoa Wa Mwanza Mhandisi. Gabriel Robert alipo wasili kwaajili ya kufungua Mafunzo endelevu ya
Wataalam (CPD) ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi . Mwanza
Msajili wa Bodi hiyo Arch. Nnunduma akimtambulisha
Mkuu
Wa Mkoa Wa Mwanza Mhandisi. Gabriel Robert wajili wasaidizi alipo
wasili kwaajili ya kufungua Mafunzo endelevu ya Wataalam (CPD).
Wajili
wasaidizi wakiwa wamejipanga kwaajili ya kumpokea Mkuu Wa Mkoa Wa Mwanza Mhandisi. Gabriel Rober.
Msajiri wa Bodi hiyo Arch. Edwini Nnunduma, Mkuu Wa Mkoa Wa Mwanza Mhandisi. Gabriel Robert wakiwasili katika
ukumbi.
wataalam katika sekta ya ujenzi kwenye fani za Wabunifu wa Majengo,Wakadiriaji wa Majenzi,Wasimamizi wa Majengo,Wasimamizi wa Miradi na Wasamabazaji wa Vifaa vya Ujenzi. wakiwa kwenye picha ya pamoja na Msajiri
wa Bodi hiyo Arch. Edwini Nnunduma.
Msajiri wa Bodi hiyo Arch. Edwini Nnunduma (kushoto)
pamoja na washiriki wa mafunzo.
Mwanasheria. kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu
Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Ibrahim Mohamed akiwasilisha mada yake
wakati wa mafunzo hayo.
Msajiri wa Bodi hiyo Arch. Edwini Nnunduma
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo.
No comments:
Post a Comment