Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wanachama wa Chama hicho pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Musoma katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 45 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume, Musoma Mkoani Mara 05 Februari, 2022.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta kuzindua Rasmi Kadi za Kieletroniki za Chama cha Mapinduzi CCM katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 45 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume, Musoma Mkoani Mara
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Kadi ya Kieletroniki Balozi wa CCM Paul Masinde kutoka Musoma Vijijini mara baada ya kuzindua zoezi hilo la Kadi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Kadi yake namba 1 ya Kieletroniki ya Chama Cha Mapinduzi CCM kutoka kwa Katibu wa Chama hicho Ndugu Daniel Chongolo mara baada ya kuzindua Rasmi zoezi la ugawaji wa Kadi hizo katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 45 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume, Musoma Mkoani Mara
No comments:
Post a Comment