Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi wa Magu Mkoani Mwanza tarehe 04 Februari, 2022
wakati akielekea Mkoani Mara kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku nne.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi wa Lamadi Mkoani Simiyu tarehe 04 Februari, 2022
wakati akielekea Mkoani Mara kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku nne.
Wananchi wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika mji wa Bunda mkoani Mara.
Kikundi cha ngoma za asili cha Kiabakari Mkoani Mara kikitumbuiza mara
baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
kuwasili katika eneo hilo tarehe 04 Februari, 2022.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment