Picha za matukio mbalimbali yaliojiri wakati wa kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM, ambapo Kitaifa zimefanyika kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Musoma mkoani Mara na Mgeni Rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

0 Comments