SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI MATEMBEZI YA KUADHIMISHA MIAKA 45 YA CCM KITAIFA MKOANI MARA - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, 5 February 2022

SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI MATEMBEZI YA KUADHIMISHA MIAKA 45 YA CCM KITAIFA MKOANI MARA

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameshiriki matembezi ya kuadhimisha miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi ambayo kitaifa yamefanyika Mkoani Mara, Februari 5, 2022, watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, Ndg. Christina Mndeme,  Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Ndg. Daniel Chongolo (wanne kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (wanne kulia)
Makada Mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi wakijiandaa kwa matembezi ya kuadhimisha miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi ambayo kitaifa yamefanyika Mkoani Mara, Februari 5, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kushiriki matembezi ya kuadhimisha miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi ambayo kitaifa yamefanyika Mkoani Mara, Februari 5, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages