CHONGOLO AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MUSOMA MKOANI MARA - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, 5 February 2022

CHONGOLO AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MUSOMA MKOANI MARA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme (kushoto), Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda (kulia) wakiwa tayari kuanza matembezi ya mshikamano kuelekea kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yanayofanyika Kitaifa mkoani Mara.(CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo aongoza matembezi ya mshikamano kwenye kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yanayofanyika Kitaifa mkoani Mara.(CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara baada ya matembezi ya mshikamano kuelekea kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yanayofanyika Kitaifa mkoani Mara.(Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akifurahia jambo na Mwanasiasa Mkongwe aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali  nchini, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mstaafu, Kapteni John Chiligati mara baada ya kumaliza matembezi ya mshikamano kwenye kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yanayofanyika Kitaifa mkoani Mara.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages