Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Uswizi Mhe. Alain Berset katika ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha
ya pamoja na Rais wa Uswizi Mhe. Alain Berset mara baada ya mazungumzo katika
ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa
Uswizi Mhe. Alain Berset mara baada ya mazungumzo katika ukumbi wa Mikutano wa
Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi
mbalimbali pamoja na Wawekezaji wakati wakitazama video ya kuitangaza Tanzania
katika Sekta mbalimbali za Uwekezaji kwenye mkutano uliofanyika Davos nchini
Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifafanua fursa
mbalimbali za Uwekezaji zinazopatikana nchini kwenye mkutano wa kuitangaza
Tanzania uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.














0 Comments