Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi
ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mhandisi Kanali Saul Chiwanga wakati
alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo lililopo Mtumba
Mkoani Dodoma tarehe 31 Julai 2024.

Mpango akizungumza na Viongozi na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais -
Muungano na Mazingira mara baada ya kukagua ujenzi wa Jengo la Ofisi hiyo
lililopo Mtumba Mkoani Dodoma. Tarehe 31 Julai 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi pamoja na Menejimenti ya Ofisi
ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira mara baada ya kukagua ujenzi wa Jengo
la Ofisi hiyo lililopo Mtumba Mkoani Dodoma. Tarehe 31 Julai 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi pamoja na Menejimenti ya Ofisi
ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira mara baada ya kukagua ujenzi wa Jengo
la Ofisi hiyo lililopo Mtumba Mkoani Dodoma. Tarehe 31 Julai 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi
ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mhandisi Kanali Saul Chiwanga wakati
alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo lililopo Mtumba
Mkoani Dodoma tarehe 31 Julai 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akikagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais -
Muungano na Mazingira lililopo Mtumba Mkoani Dodoma tarehe 31 Julai 2024.

0 Comments