Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuzindua jengo la
Stesheni ya Treni ya Kisasa (SGR) katika eneo la Kilometa 0 Jijini Dar es
Salaam Agosti 01, 2024.
Taswira ya jengo la
Stesheni ya Treni ya Kisasa (SGR) katika eneo la Kilometa 0 Jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua jengo la
Stesheni ya Treni ya Kisasa (SGR)
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea jengo la Stesheni ya
Treni ya Kisasa (SGR).
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa
Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli
Tanzania Masanja Kadogosa mara baada ya kuwasili Stesheni ya Treni ya Kisasa
(SGR) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa kuhusu Chumba
Maalum cha kuongozea Treni ya Kisasa (SGR) katika eneo la Stesheni Kilometa 0
Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua safari za
Treni ya Kisasa (SGR) kuanzia eneo la
Stesheni Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam hadi Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na abiria mbalimbali
waliokuwa wakisafiri na Treni ya Kisasa ya Umeme (SGR) kutoka Dar es Salaam
hadi Dodoma mara baada ya uzinduzi katika eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini
Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Pugu Jijini Dare es Salaam
wakati akielekea Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya Kisasa ya (SGR). Mhe. Rais Dkt.
Samia amezindua Rasmi huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kuanzia eneo
la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam- Morogoro hadi Dodoma tarehe 01
Agosti, 2024.




















0 Comments