Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wa
Ngerengere Mkoani Morogoro mara baada ya kuwasili kwa Treni ya Kisasa (SGR)
wakati akitokea Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye Treni ya Kisasa
(SGR) katika Stesheni ya Ngerengere Mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wa
Ngerengere kabla ya kupanda Treni ya Kisasa (SGR) na kuelekea Mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa
Ngerengere Mkoani Morogoro wakati akielekea Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya
Kisasa ya (SGR). Mhe. Rais Dkt. Samia amezindua Rasmi huduma za Usafiri wa
Treni hiyo kuanzia eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam - Morogoro
hadi Dodoma Agosti 1, 2024.












0 Comments