Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa
Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba,
2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali
kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 04 Oktoba, 2024.
Baadhi ya Wajumbe wa Tume
ya Rais ya Maboresho ya Kodi wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume hiyo Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa
kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassanakiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya
Rais ya Maboresho ya Kodi mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
0 Comments