Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.
Matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini, Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi
wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari,
2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa
Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua vyumba vya madarasa na Maktaba mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.
Muonekano wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar pamoja na madarasa mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 08 Januari, 2025.
0 Comments