Subscribe Us

header ads

KAMISHNA (CP) SABAS AWASILI KATIKA SHULE YA POLISI TANZANIA (TPS - MOSHI) KILIMANJARO

Picha mbalimbali zikimuonyesha Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, CP Liberati  Sabas pamoja na wajumbe wakiwasili katika ukumbi wa Shule ya Polisi Tanzania TPS – Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kufunga kikao kazi cha Maafisa Wanadhimu na Wahasibu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Mikoa, Vikosi na Vyuo Machi 15,2025.

Post a Comment

0 Comments