Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Cuba Bw. Esteban Lazo Hernandez, wakati alipowasili Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Baraza la Taifa na Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Bw. Esteban Lazo Hernandez, mara baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025.
No comments:
Post a Comment