RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC ORGAN KWA NJIA YA MTANDAO - MTAZAMO MEDIA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Friday, 7 March 2025

demo-image

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC ORGAN KWA NJIA YA MTANDAO

Responsive Ads Here

0002_4
2,,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ akishiriki Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya hiyi  (SADC Organ) kwa njia ya mtandao, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Machi, 2025. Mkutano huo umejadili masuala ya hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *