Subscribe Us

header ads

RAIS. DKT. SAMIA AHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA TANGA KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Tanga katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo tarehe 28 Februari, 2025.

Post a Comment

0 Comments