Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali
mara baada ya kuwasili katika Msikiti wa Mohamed VI uliopo katika Makao Makuu
ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania
(BAKWATA) Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuswali Swala ya
Eid El Fitr tarehe 31 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoka kuswali Swala ya Eid El Fitr katika
Msikiti wa Mohamed VI uliopo katika Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu
Tanzania (BAKWATA), Kinondoni Jijini Dar
es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.
No comments:
Post a Comment