Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Mtwara mjini katika muendelezo
wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara
wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja
vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.
Shamra shamra za wananchi wa Mtwara mjini
kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.
Shamra shamra za wananchi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.
Mkutano ukiendelea
Taswira ya mkutano huo.
No comments:
Post a Comment