Random Posts

𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐌𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄𝐓𝐈 𝐘𝐀 𝐒𝐄𝐏𝐓𝐄𝐌𝐁𝐀 𝟎𝟓, 𝟐𝟎𝟐𝟔

𝗠𝗔𝗧𝗘𝗦𝗢 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗗𝗢𝗡𝗗𝗔 𝗩𝗬𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗢 𝗬𝗔𝗟𝗜𝗡𝗜𝗡𝗬𝗜𝗠𝗔 𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗦𝗛𝗜, 𝗠𝗣𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗜𝗟𝗜𝗣𝗢𝗡𝗜𝗣𝗢𝗡𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗕𝗜𝗦𝗔
..Kushikwa na matatizo ya vidonda vya tumbo ni jaribu gumu linaloweza kubadili maisha yako kuwa kero ya kila siku na kukosesha amani mwilini.

 Kwa zaidi ya miaka mitano, nilipitia maumivu makali mno ya tumbo yaliyokuwa yakiniuma kama vile nimechomwa na moto au visu kwa ndani. 
 
Kila nilipojaribu kula chakula, hata kiwe kidogo au chepesi vipi, tumbo lilikuwa likijaa gesi, nikipatwa na kiungulia kikali kinachopanda koo, na maumivu yanayotoboa hadi mgongoni. 

 Nilitumia fedha nyingi hospitalini kununua dawa za kutuliza asidi na maumivu, lakini zote zilikuwa zikituliza kwa muda mfupi tu na baadaye maumivu yakirudi kwa kasi kubwa zaidi, yakinifanya nikonde sana na kukata tamaa ya kuishi.

Post a Comment

0 Comments