Ammy
Nonda ataiwakilisha Tanzania katika shindano la Bog Brother Africa
lililozinduliwa jana usiku. Hapa Tanzania uzinduzi huo ulifanyika usiku
wa jana katika ukumbi wa Samaki Samaki City Centre maeneo ya Posta
jijini Dar es salaam
Mwanadada Feza Kessy naye ataiwakilisha Tanzania katika shindano la Big Brother Africa mwaka huu
0 Comments