Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa
ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa
jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
(PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa
NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya
maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha
kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua namaji taka.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania
Waishio Singapore alipokutana nao jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya
Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Watanzania Waishio Singapore
alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini
Singapore
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na Watanzania
Waishio Singapore alipokutana nao jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya
Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore
Injinia John Kijazi
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya
kuwasili katika Istana (Ikulu ya Rais) jana Juni 5, 2013 huku mwenyeji
wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam akiwa pembeni yake baada ya
kumlaki.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa
Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya
Singapore jana Juni 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake
Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana
(Ikulu) ya Singapore jana Juni 5, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt
Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore jana
Juni 5, 2013
0 Comments