Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Said Sadick akimkabidhi tuzo Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Doris Malulu baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kwa
kusaidia utunzaji wa mazingira,katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya
Mazingira Duniani, yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Zakheim,
Mbagala, Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia ni Ofisa wa Afya na Usalama
Kazini wa TBL, Ismail Kalema (wa pili kulia) na Meya wa Temeke wa
Manispaa ya Temeke, Maabad Hoja.
Mratibu wa Afya na Usalama Kazini
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Daud Lwila (katikati), akionesha tuzo
ya cheti baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said
Sadick kwa kuwa kampuni ya kwanza kusaidia utunzaji wa mazingira katika
kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani,yaliyofanyika kimkoa
katika viwanja vya Zakheim, Mbagala, Dar es Salaam
Wafanyakazi wa TBL, wakiwa na tuzo hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Said Sadick akiwa katika picha ya pamoja na taasisi zilizozopewa tuzo
Mazingira. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
Doris Malulu na ImailKalema wa TBL wakiwa pamoja na wananchi walishiriki kwenye maadhimisho hayo.
Wasanii wa Bendi ya Mjomba, wakitumbuiza kwa sarakasi wakati wa maadhimisho hayo.
Mjomba Band ikitumbuiza katika maadhimisho hayo
0 Comments