Random Posts

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

1 (17)  
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Msemaji wa walio wachache wa Kamati namba saba Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa maoni ya walio wachache leo mjini Dodoma. 2 (8)  
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Msemaji wa walio wachache wa Kamati namba sita Ismail Jussa akitoa ufafanuzi wa maoni ya walio wachache leo mjini Dodoma. 3 (13) Mwenyekiti wa Kamati namba saba ya Bunge Maalum la Katiba Brigedia Jenerali Mstaafu Hassan Ngwilizi akiwasilisha maoni ya kamati yake leo mjini Dodoma kuhusu sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.4 (6)  
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mohamed Abood(kushoto) na Stephen Wassira wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.mwenyekiti (1) Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(wa pili kulia) akiongoza na wajumbe wengine wa Bunge hilo kuelekea katika mapumziko mafupi mara baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma.razaWajumbe wa Bunge Maalum la Katiba James Mbatia (kushoto), Mohamed Raza( wa pili kushoto) , Profesa Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) na Freeman Mbowe(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba. 
Picha na Bunge Maalum la Katiba -Dodoma.