Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao huu imezipata katika mitandao ya kijamii inasemekana MAKAMU
wa Rais Dk. Gharib Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky
Sadick, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
na mpiga picha wa TBC, George Kasembe wamenusurika kifo baada ya
helkopta waliyokuwa wanasafiria kupata ajali Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere.
Tunazidi kufuatilia tukio hili PICHA NA KANDILI YETU LEO
Bofya hapa kwa Taarifa zaidi



