San Abacha Enzi Ya Uhai Wake.
..................................................
Mahakama ya juu nchin Marekani ya toa uamuzi wakuzitaifisha pesa zote zilizofichwa na utawala wa Nigeria katika ma Bank mbalimbali ,katika hukumu iliyotolewa juma tano na Jaji wa mahakama ya Washington.imeamuliwa pesa zote zaidi ya Dola480 million zirudishwe katika serikali ya Nigeria.
Pesa hizo ziliibwa na Abacha wakati wa utawla wake wakimabavu kuanzia miaka ya1993 mpaka1998 nipesa zilizoibwa kutoka kwenye uzalishaji wa mafuta,
Nigeria ni nchi katika bara la Afrika inayozalisha mafuta kuliko nchi nyingine .lakini wana nchi wake wanaishi maisha ya umasikini wakutupwa huku baadhi ya viongozi wakiishi maisha ya utjiri wakupindukia ,Jaji John Bates amezijumlisha na zile psa zote zilizofichwa katika visiwa vya Jersey ambazo ziko katika mabenki zinazofikia dolla za Kimarekani 144milion
Ireland dolla 27million,pia kuna dolla148.
Abacha aliyechukua madaraka katika mapinduzi ya kijeshi .Alikufa katika kufa kifo cha gafla mwaka 1998.na baada yakifo chake kilichojaa utata.Ma-Rais waliofatia wamekuwa wakipambana kutaka kuzirudisha pesa zote zilizofichwa katika mabank mbalimbali ulaya .rakini juhudi hizo zimekuwa zinakwamishwa na Makampuni yaliyokuwa na ushilikiano nae kwa kukimbilia Mahakani na kuweka pingamizi
Inakadiliwa zaidi ya kati ya billion3 na 5 dolla ziliibiwa wakati wa utawala wake hii ni kutokana na ripoti iliyotolewa na Transparency International.
KWA HISANI YA MTANDAO