Rais Jakaya Kikwete ambaye alikuwa
mzungumzaji mkuu katika Kongamano la Kuvutia Wawekezaji nchini, lililofanyika
juzi Washington DC, Marekani, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Muhongo (wa pili kulia), Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childress (kushoto) wakifuatilia mada
mbalimbali za mkutano huo
