Muonekano wa Jengo la Makao Makuu ya Kampuni ya Tropical.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf
Mwenda (kulia), akisalimiana na mwanasoka bora mstaafu wa timu ya Real
Madrid, Fernando Sons (kushoto), baada ya kufika na wenzake kuzindua
duka jipya la vifaa vya umeme la Tropical lililopo maeneo ya Victoria
Kinondoni Dar es Salaam jana. Katikati ni Christian Karembeu.
Wakurugenzi wa Kampuni ya Tropical
wakiwa na wacheza hao wakati wa sherehe hizo. Kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji, Aloyce Ngowi na Kulia ni Meneja Mkuu, Charles Mlawa
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kushoto), akiwa na wageni waalikwa. Wa pili kushoto ni Balozi wa Zambia nchini.
Warembo watoa huduma katika duka hilo wakiwa katika picha ya pamoja.
Wapiga picha kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakipiga picha na wachezaji hao.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf
Mwenda (kulia), akigongesha glasi na wachezaji wastaafu wa timu ya Real
Madrid, wakati wa hafla ya uzinduzi wa duka jipya la vifaa vya umeme la
Tropical lililopo maeneo ya Victoria Kinondoni Dar es Salaam.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSEHANGWEBLOG
+255787942222
.........................





