Random Posts

KUNDI LA ISIS-DOLA YA KI-ISLAAM LAKIONA CHA MOTO KUTOKA JESHI LA ANGA LA MAREKANI

Na Bernard James wa www.mtamomedia.blogspot.com

Marekani_Jeshi la Anga limefanya shambulizi zito  ncnini Syiria dhiya ya Kundi la Dola ya kiislam –ISIS-,Shambulizi hilo lililofanywa katika miji iliyopo mipakani na nchi ya Uturuki ililenga kuliangamiza na kulinyong`onyesha kundi hilo ,kundi hilo  limekuwa likilenga na kuwashambulia hasa jamii ya kurudishi wanaoishi Iraqi na Uturuki,kitu ambacho kimeilazimu Marekani kutoa Siraha kwa waKurudi ikiwa nipamoja na kuwapa mafunzo na mbinumbalimbali kukabiliana na wapiganaji wa Isis,
Wakurudi sasa wako mstali wa mbele katika vita ,vinavyoendelea na kundi la ISIS linapata upinzani mzito,na Wakurudi wameweza kuwazibiti kundi la ISIS  na kulifanya kurudi nyuma,Isis imekuwa  katika wakati mgumu sana katika harakati zao za kuiangusha Serikali ya Iraqi kamawalivyozamilia hapo mwanzo.Mashambulizi ya anga yanayofanywa na marekani dhidi ya kundi hilo  limefanya ISIS kukimbia na kujificha huku wakiwa wamepoteza wapiganaji wengi huku zana zao za kivita zikiwa zimeteketezwa,jumamosi hii 28/9/2014 imekuwa mbaya kwa kunjdi hilo baada ya kufanyika mashambulizi mazito ya anga,
Wakati huohuo ,zaidi ya wakimbizi 100.000 wamevuka mpaka na kuingia Uturuki kutoka Siria kukimbia mapigano yanayoendelea dhidi ya Majeshi ya ushilika yanayo-ongozwa na Marekani zidi ya kundi la Ki-islaam Isis dola ya ki-islaam

 Mkazi wa jimbo la kfredria Idlib akiangalia mabaki ya nyumba yake,baada ya jeshi la anga la Marekani na washirika wake kuiteketeza,hii ni katika harakati ya kuliangamiza kundi la isis
 Manowary ya jeshi la Marekani ikirusha kombola aina ya Tomahawk Cruise kuelekea zilipo ngome za kundi la Isis ,Siria na Iraqi.
 Kiwanda cha kusafisha mafutaJeribe modular kilichokuwa kikishikiliwa na kundi la ISIS ,kabla ya kushambuliwa kushoto,kulia baada ya kushambulia na ndege za Marekani 28,9,2014
Kombola aina ya Tomahawk cruise likivurumishwa kutka manowari ya Marekani iliyopo katika bahari nyeusi,makombola haya ni ya kisasa ,na yanaelekezwa na satalait zilizopo angani kurenga shabaha,sehemu iliyokusudiwa,

Post a Comment

0 Comments